E Original Member Joined Jan 10, 2012 Posts 38 Reaction score 3 Mar 12, 2014 #1 Wanajamvi naomba msaada kwa mtu yoyote aliyesikia tangazo la kazi kwa walio soma hotel management,kwa dada yangu yupo nyumban zaidi ya mwaka akitafuta kazi mpaka leo. naomba mwnywe update ya kazi, jamani ni serious
Wanajamvi naomba msaada kwa mtu yoyote aliyesikia tangazo la kazi kwa walio soma hotel management,kwa dada yangu yupo nyumban zaidi ya mwaka akitafuta kazi mpaka leo. naomba mwnywe update ya kazi, jamani ni serious
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,597 Mar 12, 2014 #2 pole sana kwa dadako kukosa kazi... jitahid kutembelea hili jukwaa mara kwa mara wanaupdate kla siku nafasi za kazi
pole sana kwa dadako kukosa kazi... jitahid kutembelea hili jukwaa mara kwa mara wanaupdate kla siku nafasi za kazi
Blessed Keinerugaba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 4,789 Reaction score 4,835 Mar 12, 2014 #3 ajaribu kupeleka cv au kujitolea kwenye hotel hata za level ya chini ,inaweza kuwa na fursa nzuri kwake!
ajaribu kupeleka cv au kujitolea kwenye hotel hata za level ya chini ,inaweza kuwa na fursa nzuri kwake!