gissey anthony
Member
- Oct 8, 2017
- 7
- 2
Pm ndio nn sijakuelewaKama upo serious na kazi ni Pm
Private messagePm ndio nn sijakuelewa
nini kilitokea teh, make na mi nataka nitafute kijana mmoja mtaa huuKwa moyo mkunjufu niliamua kumsaidia mtu hapa hapa JF alikua na shida kama yako duh yaliyonikuta sintokuja kurudia hakika JF kuna vituko [emoji23][emoji23][emoji23].
Yap Niko seriousKama upo serious na kazi ni Pm
sasa si uende huko alikokwambia!!! wewe naye.Yap Niko serious
Kama ameuliza pm ndio nin?sasa si uende huko alikokwambia!!! wewe naye.
kuhusu pm amejibiwa post #8 sasa kama haelewi pm nini basi.Kama ameuliza pm ndio nin?
Unategemea atafikaje mkuu!