Nilinunua moja pale Mlimani nimeitumia wiki mbili tu nikahamishwa kikazi. Nimeiacha Dar kwenye nyumba yangu, ilinigharimu 470 thou kama sijasahau, lakini risiti ipo. Nategemea kurudi Dar kwa muda mfupi tarehe 14 Juni. Ukiwa bado hujapata na unahitaji basi nipe simu yako nitakapowasili nitakupigia uje uione. inaweza kuondoka kwa 370 tu kunipunguzia mzigo. kazi kwako!