raoka kubanda
Member
- Jun 13, 2017
- 45
- 24
Hata mm nimechaguliwa hapo dakawa, so tutakuwa wote aiseeJamani mwenye joining instruction za DAKAWA TEACHERS COLLEGE maan dah siwaelewi kabsa jamaa..mpaka post zinatoka ilikuwa nikwamba nisubir mpaka chuo kitakapo wasiliana na mimi...lakin siku zinaenda sijapigiwa simu....wala mawasiliano ya aina yoyote...,mpaka hivi karibuni nilipoamua kutafuta namba zao.....kisha nikawapigia simu ilipokelewa baada ya siku tatu **3days*** na alipopokea akadai nimtumie email yangu kisha akakata simu...nilituma email yangu lakin mpaka leo hii inakimbilia wiki ya tatu hakuna chochote walichonitumia.... na nilipo jalbu kuwapigia simu kwa mara nyingine ili niwaulizie....cm haipokelewi mpka kesho... jamani sasa nifanye nn na time ndo inasep knoma...
NdiyoDakawa kuna diploma?
we jamaa vp mbon unaongea pumba...Si lazma usome dakawa endelea kutafuta vyuo vingine
Lodge sio ya babaako
nimekusm....vp kw upande wako walishaku2mia joiningHata mm nimechaguliwa hapo dakawa, so tutakuwa wote aisee
yepDakawa kuna diploma?
nimekusm....vp kw upande wako walishaku2mia joining
Hapànanimekusm....vp kw upande wako walishaku2mia joining
Naomba unisaidie ndugu...JOINING INSTRUCTIONS ZA DAKAWA TEACHERS COLLEGE TAYARI
Naomba unisaidie ndugu...
Naomba unisaidie ndugu...
Naomba unisaidie ndugu...
Naomba unisaidie ndugu...
Naomba unisaidie ndugu...
Naomba unisaidie ndugu...
Nitumie namba yako ya wasap nikutumieNaomba unisaidie ndugu...
tuma bcJOINING INSTRUCTIONS ZA DAKAWA TEACHERS COLLEGE TAYARI