Natafuta jamani Jitokezeni!

SWEEPER

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
269
Reaction score
89
Rafiki wa kike wa kwenda naye lunch kila siku na awe na sifa zifuatazo; umri 25+ -35, awe mzuri wa sura na umbo, si mnene, awe mke au si mke wa mtu, awe anaweza kujilipia bili itakapobidi na mwisho awe maeneo ya sokoine drive/feri/posta DSM kila time ya lunch. Mwenye zifa nyingi kati ya hizo aniPM. Wanaume ishieni kusoma post tu bila comment, wanawake mnahamasishwa kuPM.
 

Huyo mwanamke anaenda kula au kuliwa lunch??????
 
Hahahahahahahah
yani tangazo ulivyo liweka hadi una tia huruma! Nahisi hii ni zaidi ya lunch!
Bila shaka watakuja!
 

hapo kwenye blue ,nahisi unahamu ya kuliwa lunch wewe mwenyewe.
 
hili bandiko limekaa kifisadi fisadi hiyo lunch mmmmh ngoja ninyamaze!!!!!!!!!!!!!
 
yani umtafute kwenda nae lunch
thn bili ajilipie inawezekana kweli?hebu nipite zangu mie khaa!
 
mi nipo tayari ila mi kulipa siwezi hata siku moja kwa kweli
kama upo tayari kuclear bill kila siku poa
 
25+-35= -10
it meanc huy m2 atazaliwa baada ya miaka 10. SORRY nlkua napta 2
 
mi nipo tayari ila mi kulipa siwezi hata siku moja kwa kweli
kama upo tayari kuclear bill kila siku poa

Jamani Smile usihofu si nimesema ikibidi?
 
kuna housegirl wetu uko tayari nikuunganishe naye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…