Natafuta iPhone 5s

chingunduli

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
268
Reaction score
51
Mwenye hiyo simu, iwe mpya na vifaa vyake vyote budget yangu ni 700000
 
IPhone 5 mpya ni $735. Usisahau kuna na iPhone 5s ambayo bei yake iko juu kidogo.
 
Acheni kumtusi na kumkejeli mtu kisa mnajua bei halisi ya simu...

Mnaweza mkaibiwa hizo akauziwa kwa laki 1 au mbili... mpeni njia nzuri..
 
Kak nichek brand new 850000


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Kak nichek brand new 850000


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums

Am sure hiyo simu haina guarantee, 16Gb ni zaid ya $730 unapewa kwenye box na 1yr guarantee yani ikiharibika unapewa mpya. Hiyo ya tsh 850,000 labda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…