Wadau napenda kutumia fursa hii kuulizia namna gani naweza kupata nafasi ya internship kwenye mambo ya media sanasana kwenye TV(video visual editor and graphics).