Natafuta internship as an accountant

lukac

Senior Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
122
Reaction score
35
Habari zenu wana JF,mimi nina bachelor degree of commerce in accounting nime apply kazi kwa muda mrefu sasa bila mafanikio, nahisi sababu kubwa ni ukosefu wa experience.Kwa hiyo naombeni sana msaada wenu niweze kupata INTERNSHIP mahali popote pale as an accountant cha muhimu tu ni kwamba hiyo sehemu iwe somehow reputable.Naamini mmenielewa ndugu zangu, MUNGU AWABARIKI NYOTE...Kwa atakayetaka kuwasiliana na mimi namba yangu ni 0757 443396.
 
Umemalza chuo gani na mwaka gan?
 
Kama Gpa yako inasoma fresh,jaribu kuwacheck crdb.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…