mfuga kuku JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 850 Reaction score 662 Jul 16, 2014 #1 Habari wandugu, kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta) naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba.
Habari wandugu, kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta) naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba.
Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Jul 16, 2014 #2 Ni pm faster mkuu uje uchukue kitu cha manual from german kama upo dar
gmosha48 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,399 Reaction score 1,482 Jul 16, 2014 #3 Nipim Nikupe Number. Jamaa yangu anazisuka hizo
Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Jul 16, 2014 #4 Nime ku pm mkuu uje uchukue mtumba from German.bei rahisi utafurah mwenyewe.
P Poultry Sayuni Senior Member Joined Sep 6, 2011 Posts 125 Reaction score 36 Jul 16, 2014 #5 mfuga kuku said: Habari wandugu, kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta) naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba. Click to expand... Karibu ununue ninayo moja safi sana na bei nzuri, Ni full automatic Tuwasiliane zaidi
mfuga kuku said: Habari wandugu, kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta) naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba. Click to expand... Karibu ununue ninayo moja safi sana na bei nzuri, Ni full automatic Tuwasiliane zaidi
mfuga kuku JF-Expert Member Joined Jul 14, 2014 Posts 850 Reaction score 662 Jul 16, 2014 Thread starter #6 Nashukuru sana lkn hizi za made in tanzania nimezitumia sana huwa zinaharibika haribika sana.
Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Jul 16, 2014 #7 Nime ku pm mkuu uje uchukue mtumba from German.bei rahisi utafurah mwenyewe.
N Ndaga Senior Member Joined Apr 28, 2009 Posts 196 Reaction score 88 Jul 16, 2014 #8 mfuga kuku said: Habari wandugu, kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta) naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba. Click to expand... Nenda pale Ubungo Business Park (Millenium Business Park) Opp na Shekilango road traffic light, Ulizia kampuni inaitwa 'Poly machinery Co' Utpata hapo Mashine za kutota vifaranga kuanzia vifaraga 88, 264, 352, 880, 1056, 2112 na 3168kubwa kabisa. Ukiwa na swali lingine sema, JM
mfuga kuku said: Habari wandugu, kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta) naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba. Click to expand... Nenda pale Ubungo Business Park (Millenium Business Park) Opp na Shekilango road traffic light, Ulizia kampuni inaitwa 'Poly machinery Co' Utpata hapo Mashine za kutota vifaranga kuanzia vifaraga 88, 264, 352, 880, 1056, 2112 na 3168kubwa kabisa. Ukiwa na swali lingine sema, JM
P Poultry Sayuni Senior Member Joined Sep 6, 2011 Posts 125 Reaction score 36 Jul 16, 2014 #9 mfuga kuku said: Nashukuru sana lkn hizi za made in tanzania nimezitumia sana huwa zinaharibika haribika sana. Click to expand... Hizi za hapa Tanzania ni nzuri pia ila inategemea na fundi, Ninayo moja ya hapa Tz ni nzuri nilitaka kuuza ila nimegahiri maana utendaji wake ni mzuri
mfuga kuku said: Nashukuru sana lkn hizi za made in tanzania nimezitumia sana huwa zinaharibika haribika sana. Click to expand... Hizi za hapa Tanzania ni nzuri pia ila inategemea na fundi, Ninayo moja ya hapa Tz ni nzuri nilitaka kuuza ila nimegahiri maana utendaji wake ni mzuri
Ummylard Member Joined Jul 19, 2011 Posts 30 Reaction score 2 Jul 16, 2014 #10 Mpigie huyu mtu anazo za uhakika. Mm nilinunua kwake sijajuta kwa kwel. 0784944770