PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,864 Reaction score 23,473 Mar 17, 2016 #1 Ni wa miaka mingi kidogo lakini siukumbuki jina lake.Nakumbuka kati ya 2002 au 2004 ulikuwa unachezwa radioni tu, sana sana Clouds FM. Waimbaji wa wimbo huu ni yule dada wa kuitwa Keisha na mwenzie Bushoke (Keisha ft. Bushoke).
Ni wa miaka mingi kidogo lakini siukumbuki jina lake.Nakumbuka kati ya 2002 au 2004 ulikuwa unachezwa radioni tu, sana sana Clouds FM. Waimbaji wa wimbo huu ni yule dada wa kuitwa Keisha na mwenzie Bushoke (Keisha ft. Bushoke).
F9T JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,683 Reaction score 4,973 Mar 18, 2016 #2 mkuu itafute kwenye hii link www.waptrick.com
real G JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 5,227 Reaction score 5,303 Mar 18, 2016 #3 Wimbo unaitwa huruma ingia kwenye hii link utaupata KEISHA ft BUSHOKE - HURUMA - Rubega | Swahili Music Platform ila ku dowload lmpaka ufungue akaunti kwenye hiyo site
Wimbo unaitwa huruma ingia kwenye hii link utaupata KEISHA ft BUSHOKE - HURUMA - Rubega | Swahili Music Platform ila ku dowload lmpaka ufungue akaunti kwenye hiyo site
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,864 Reaction score 23,473 Mar 18, 2016 Thread starter #4 Asanteni Sana wadau, maana huu wimbo unanikumbusha safari yangu ya Ntwara, Masasi, Newala....
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,864 Reaction score 23,473 Mar 18, 2016 Thread starter #5 F9T said: mkuu itafute kwenye hii link www.waptrick.com Click to expand... Nime search huko haupo. Kama wewe umeupata share the link tafadhari
F9T said: mkuu itafute kwenye hii link www.waptrick.com Click to expand... Nime search huko haupo. Kama wewe umeupata share the link tafadhari