Simu ya mwaka 2008 alafu specs zake ndogo sana niipeleke wapi! Nimeshaweka ANGALIZO ila umekuwa mgumu kuelewa. Nina iPhone 5S na sasa nataka handset ya pili nadhani HTC One ndio itakuwa bora kwangu.
sasa ndugu KITIMOTO kama una 5s wat if ukichukua mpya kabisa nadhan itakufaa otherwise fanya mpako uagiziwe abroad nadhan utafanya la maana zaid kama umekosa tz