suma Nongwa Member Joined Sep 12, 2017 Posts 97 Reaction score 47 Oct 18, 2020 #1 Habari wakuu naomba kupata taarifa ya bidhaa hii katika ardhi yetu ya Tanzania Kwa maana ya mkoa husika Na wilaya lakini pia itapendeza zaidi ikipatika video au picha ya bidhaa hii Ahsante
Habari wakuu naomba kupata taarifa ya bidhaa hii katika ardhi yetu ya Tanzania Kwa maana ya mkoa husika Na wilaya lakini pia itapendeza zaidi ikipatika video au picha ya bidhaa hii Ahsante
M masagati JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 496 Reaction score 368 Oct 18, 2020 #2 Kuna sehemu nilikuwa naona watu wakiwa nayo ila ni miaka mingi sana 1993, sijui kwa sasa kama bado upatikanaji upo vilevile
Kuna sehemu nilikuwa naona watu wakiwa nayo ila ni miaka mingi sana 1993, sijui kwa sasa kama bado upatikanaji upo vilevile