babuukikolo
Senior Member
- Jan 1, 2014
- 146
- 167
Usipende gari kwa kuangalia namba. Angalau hata ungetumia kigezo cha KM. .Natanguliza salam zangu kwako ww ndugu msomaji
Natafuta harrier old model 2az engine.
Nipo mwz na ninataka kuanzia namba dh...
Kama unayo sema mkuu mi ila vigezo natoa mie mtoa helaUsipende gari kwa kuangalia namba. Angalau hata ungetumia kigezo cha KM. .
Nimekuelewa mdau. Mimi ninalo japo sipo tayari kuliuza kwa sasa. Ina namba D lakini ina soma KM 139000. Nimenunua hapa TZ akiwa na namba ambazo si stahili kwa nazo. Nimebadilisha sasa ni DKN. . Bilashaka wewe ni mtalaam wa magari ndo maana huna shaka na hilo. Lakini ni faida kwa wengine.Kama unayo sema mkuu mi ila vigezo natoa mie mtoa hela
Aisee, tumeshafika kwenye namba "DN" kumbe.?!Nimekuelewa mdau. Mimi ninalo japo sipo tayari kuliuza kwa sasa. Ina namba D lakini ina soma KM 139000. Nimenunua hapa TZ akiwa na namba ambazo si stahili kwa nazo. Nimebadilisha sasa ni DNK. . Bilashaka wewe ni mtalaam wa magari ndo maana huna shaka na hilo. Lakini ni faida kwa wengine.
139,000 sio tatizo mkuu ilimradi matunzo tu.hizo namba ambazo hukustahili ni za aje? [emoji2]Nimekuelewa mdau. Mimi ninalo japo sipo tayari kuliuza kwa sasa. Ina namba D lakini ina soma KM 139000. Nimenunua hapa TZ akiwa na namba ambazo si stahili kwa nazo. Nimebadilisha sasa ni DKN. . Bilashaka wewe ni mtalaam wa magari ndo maana huna shaka na hilo. Lakini ni faida kwa wengine.
[emoji28][emoji28]magu yupo chato asijekutana nacho njian kikija mwzKama utahitaji vichwa vya train utaniambia...
Ipo mkuu tuwasiliane 0658212659Natanguliza salam zangu kwako ww ndugu msomaji
Natafuta harrier old model 2az engine.
Nipo mwz na ninataka kuanzia namba dh...