Chiponzo Chinkunza
New Member
- Apr 18, 2020
- 2
- 4
User π€Na mm Niko hapa kwa ajili yako
stidy
π€£π€£sawa sanitizer wa mikono yangnakuchagua uwe barakoa
Wa moyo wangu
stidy
Mkorofi weweππ, salama mpenzi vipi huko ulipo?, huyu mleta uzi atatafuta vitoto vibichi miaka 21? Kweli aargh.
Huku ni kwema kabisa..nilikua nakujulia hali tuπππMkorofi weweππ, salama mpenzi vipi huko ulipo?, huyu mleta uzi atatafuta vitoto vibichi miaka 21? Kweli aargh.
Mi mzima kabisa nashukuru, naskia umeacha kunywa pombe rafiki?Huku ni kwema kabisa..nilikua nakujulia hali tuπππ
Mi mzima kabisa nashukuru, naskia umeacha kunywa pombe rafiki?
Kumbe ndoto ya uongo hiiππ, haya enjoy
Kila ndege hutua mti aupendaoMbona hujaweka masharti na vigezo kama wenzio