Nipo Dar so specifications ni kwamba nahitaj starlet ya Tsh 4m, 1.3cc in good condition.Thats all...!
nipe contact zako hasa mail adress na jina kamili nikuunganishe na jaama yangu yupo japan upati gari safi!!!mi pia nipo hukuhuku yanakotoka!!
kamanda ellie kuwa makini na hao watu wanaodai wana washikaji wako japan, mie nimelizwa dola 2970 tangu mwezi wa tano mwaka huu, na jamaa wa Impreza Used Cars 41export.com. Angalia kuna wabongo wako huko japan maisha yemewashinda sasa wanaamua kuwaibia wabongo wenzao wa huku TZ. watch out man
Please give us the story. ukiulizia unapewa majibu gani?
kmapuni reliable ni beforward, ukiagza gari unalala usingizi kwa amani, kitu lazima kitinge bongo bila kwere
Cheki na mimi thru nyenze1@yahoo.comnipe contact zako hasa mail adress na jina kamili nikuunganishe na jaama yangu yupo japan upati gari safi!!!mi pia nipo hukuhuku yanakotoka!!
pole sana kaka. hata tradecarview hizi kampuni ni reliable
1. Yanagisawa.
2. Real Motor Japan
3. Helios trading
4. ecohironaka
5. i.s trading- ila hawa wanachelewesha sana katika ku ship gari na mawasiliano yao sio mazuri ila ni waaminifu
6.Mukarama
7.mrc corporation
Nyingine nimesahau zote hizi nishawahi kufanya nazo Biashara
Thanx 19don.charges za bandari hapa dar au ,
endapo ni ushuru fungua web ya tra (www.tra.go.tz)
download calculator for used motor vihicles na CRSP
tafuta bei ya gari kwenye crsp utapate bei ya gari hilo likiwa jipya ,
fungua calculator ingiza ex/rate fuata maelekezo wametofautisha gari kutokana na cc utapata gharama za ushuru kabla ya kugiza gari
nipe contact zako hasa mail adress na jina kamili nikuunganishe na jaama yangu yupo japan upati gari safi!!!mi pia nipo hukuhuku yanakotoka!!