Natafuta gari

Mkuu inabidi uweke details vzr useme unataka namba gani kama C au D naww una kiasi gani...
 
Engine gani kuna 1.8, na D4 kuna 4s kavu, kuna 5A ongea vizuri acha brabra.
 
Mkuu mm ninayo nauza kwani sasa. Nimenunua wish.,inahitajika milioni 3 tu.iko vizuri saaana spidi 260,
Vibali vyote fresh tu.wewe tu namba 0689799999 ,mm nauza roho inaniuma maana kwa mwendo hapa hatari ,haina tatizo isipookuwa AC gas imeisha,taa ya mbele moja imepasuka,na Ndani ni kuosha
 
Engen gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…