Natafuta gari ya M. 5 ya kutembelea

Natafuta gari ya M. 5 ya kutembelea

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,982
Isiwe vitz
Nipe gari yoyote isiwe na shida tuuh
 
Ww hutaki gari bali chuma chakavu
 
Mkuu angalia usije ukauziwa banda la kufugia Kuku kwa 5mil,
Mabanda pale Shekilango karibu na ICD yanauzwa laki 3 tu
 
waambie waweke picha sio wakuite wakakuibie kwa kubambika being kubwa kuliko thamani ya GARI lenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom