Kiyumbi Yuga
Member
- Dec 13, 2017
- 92
- 169
Unaweza kuweka picha kiongozi na specs zakeIpo Cresta, popote unafika, ac, muziki mnene, etc 3.7m
kama unaweza shuka mpaka 4.5 tuwasiliane.ipo passo namba DBD... km ni 54,000.. bei ni 5.5m
kama unaweza shuka mpaka 4.5 tuwasiliane.
keyword: kama
sawa mr.freshmanhaishuki hata mia... hizo hela ni nyingi lakini sio bajeti yangu ya kuuza
Cc 1980, km 177001, AT, A/c no ajali, imarudiwa rangi (mkono mmoja)Unaweza kuweka picha kiongozi na specs zake