fadhili mohamedi
Member
- Mar 26, 2018
- 10
- 2
Mimi gari ninayo ina namba za private,na nimesikia inabidi nibadilishe TRA liwe commercial,sasa hapo ndugu dereva inakueje,natamani tufanye huo mkataba na wewe tatizo ndio hilo,au kama kuna njia mbadala niambie!JAMANI HII FAIDA KWANGU NA KWAKO PIAKAMA UNAGALI LOLOTE DOGO AMBALO LIPO KWENYE HALI INZURI KAMA , , SPACIO,CARINA, R, RACTIS, IST, VITS NKMIMI NI DEREVA WA UBER NAHITAJI TUANDIKISHANE MKATABA KWA WEEK NIKUPE 220000/= NIKUINGIZIE PESA NI MWAMINIFU KAMA UTAKUWA TAYARI BASI NITAFUTE KUPITIA 0654960981
ASANTEN
Sio lazma ubadilisheMimi gari ninayo ina namba za private,na nimesikia inabidi nibadilishe TRA liwe commercial,sasa hapo ndugu dereva inakueje,natamani tufanye huo mkataba na wewe tatizo ndio hilo,au kama kuna njia mbadala niambie!
Hilo kubwa sanaPoa mzee sema mimi nina crown royal
Utaratibu wa mafuta na service upoje?JAMANI HII FAIDA KWANGU NA KWAKO PIAKAMA UNAGALI LOLOTE DOGO AMBALO LIPO KWENYE HALI INZURI KAMA , , SPACIO,CARINA, R, RACTIS, IST, VITS NKMIMI NI DEREVA WA UBER NAHITAJI TUANDIKISHANE MKATABA KWA WEEK NIKUPE 220000/= NIKUINGIZIE PESA NI MWAMINIFU KAMA UTAKUWA TAYARI BASI NITAFUTE KUPITIA 0654960981
ASANTEN
Mkuu una uhakika sio lazima kubadili gari iwe commercial???Sio lazma ubadilishe
ujaambiwa utoe mchanganuo, unachotakiwa ni kupokea 220,000/=tu per week.220,000 ÷ siku 6 = 36,666.666667 ~ 37,000 kwa siku
Mkuu unaweza lipa hiyo hela na gari ikawa nzima miezi 9 kweli!?..Huoni hela ni kubwa sana, gari itapiga safari mpaka inakuja uzwa km kama safari za South ilienda!!...
Hapo hujampa Uber 25% yake, hujatoa mafuta na wewe faida yako!.. Kwa huyu huyu uber mwenye trip hadi za elfu 4,500 utaweza fikisha zaidi ya elfu 60 kwa siku!??..
USIWE FALA KUIONA TAMAA YA PESA BILA JUA INAPATIKANA VIPI!!..ujaambiwa utoe mchanganuo, unachotakiwa ni kupokea 220,000/=tu per week.
jinsi ya yeye kuipata hiyo pesa yako ni juu yake, kinachotakaiwa gari yako iwe kwenye hali nzuri tu.
Watanzania jaribuni kuwa waelewa basi ndio maana tunapelekeshwa na watawala. !
Jaman msigombane ni vitu vya kueleweshana jamaa yupo sahihi kuuliza mambo ya service yapoje ila hilo ni makubaliano kati ya dereva na boss
Kubadili TRA ni Tsh elfu kumi tu. Kishoka labda umpe elfu 30 na kubadili plate no Ts 32K.Mimi gari ninayo ina namba za private,na nimesikia inabidi nibadilishe TRA liwe commercial,sasa hapo ndugu dereva inakueje,natamani tufanye huo mkataba na wewe tatizo ndio hilo,au kama kuna njia mbadala niambie!
Sheria zimebana nw unatakiwa ubadilisheSio lazma ubadilishe