Natafuta gari ya 4ml

Natafuta gari ya 4ml

Mkuu zichange tu gari ya 4ml ni shipa kabisa au umesahau msemo wa fid q?? "Hiv anawayeuzia magari wasanii anaitwa nani maana wanatumia mda mwingi gereji kuliko barabarani" nakushauri hiyo 4m nunua kiwanja au shamba liache kwa mda wa mwaka then liuze kwa 8ml then hapo uagize cresta vvti japan.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom