Natafuta gari nina budget ya millioni 5

Natafuta gari nina budget ya millioni 5

Toa specifications. Nina subaru legacy no.D Yom 2006 silver , double exhaust pipes, automanual, cc2000 iko vizuri balaa. Ongeza hela kidogo. Pia nina passo ,2006 cc 1000 no D.... Nitafute
 
Mkuu, hilo litakuwa mfano wa gari, itakubidi uwe na namba za simu za mafundi wengiii, kila siku uwe na salio la kumwita fundi home, halafu litakufanya uchelewe kazini mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kukatisha watu tamaa Mimi nimenunua Gari kwa million 2•5 na walikuja watu na hoja kma zako mwaka Wa pili huu nshasahau garage daladala na kelele zenu bodaboda maisha yanasonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nasubiri Noah yangu, maana upepo nao haueleweki mara unavuma kwenda kusini, mara kaskazini, mara mashariki, yaani taabu tupu.

Ghafla nasikia Bombadier imewekwa selo, daahh!!
Majanga tena hayo.

Ha ha ha ha ha ha ha ha
subiri upepo ukivuma kwenda kaskazini mashariki labd utapata NOAH yako
 
Mkuu, hilo litakuwa mfano wa gari, itakubidi uwe na namba za simu za mafundi wengiii, kila siku uwe na salio la kumwita fundi home, halafu litakufanya uchelewe kazini mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
anaweza kupata passo safi tu au mark ii grande kwa hela hiyo million 5 siyo pesa ndogo kwa gari kama unavyofikiria inategemea unataka gari gani kwahiyo budget
 
1f582ccd1e0f8a347a13d73f8344b8c3.jpg
ml 5.5

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom