Natafuta gari, nina 2,500,000/= Tshs

mimi ninalo liko kwenye hali nzuri. bei itapungua kidogo
 
Nitakujulisha.....kuna jamaa analo lakini halijalipiwa road licence miaka tisa.yeye analitumia ki alwatan na anajuwa madhara yake ndio maana analiuza
 
Iyoo hela kupata gari ni Ngumu utapata kimeo. Endelea kuchanga changa upate nzuri zaidi.
 
aiseee! ni pinguzie kidogo
kaka Wile GAMBA angalia tairi hizo, sport za ukweli, bei ya tairi na rim zake peke ni zaidi ya milioni. hilo 404 la ako wangu ndo bei inapungua sana tu.
 
Last edited by a moderator:
Nitakujulisha.....kuna jamaa analo lakini halijalipiwa road licence miaka tisa.yeye analitumia ki alwatan na anajuwa madhara yake ndio maana analiuza

Duuh.. Hiyo hesabu ya leseni ya barabarani ya miaka tisa ukijumlisha na faini nadhani inapita hiyo Tshs. 2,500,000.00..!
 
Jipe moyo utapata maana waweza kumkuta mtu anahitaji hela hiyo ili aingize jingine
 
Iyoo hela kupata gari ni Ngumu utapata kimeo. Endelea kuchanga changa upate nzuri zaidi.

Acha kukariri juzi jirani yangu kauza Baloon nzuri tu M1.5 na ilikua na deni la kilo 8 TRA...

GARI atapata tena lenye hali nzuri tu coz siku hizi Magari sio issue kabisa hasa Yale outdated......
 
Kweli inapita saana na gari lenyewe ni BOMBA ILE MBAYA ni vx yenye sliding roof.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…