J Joachimb Member Joined Jul 23, 2017 Posts 75 Reaction score 83 Nov 1, 2022 #1 Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo.
Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,094 Reaction score 121,470 Nov 1, 2022 #2 Ngoja waje wale watoa ushauri wakwambie kua "Hiyo hela si bora uwekeze kwenye biashara" 😂😂😂😂
J Joachimb Member Joined Jul 23, 2017 Posts 75 Reaction score 83 Nov 1, 2022 Thread starter #3 Nimeshawekeza kwa hiyo nahitaji njia rahis ya kufika kwenye uwekezaji, hao siwahitaji tafadhali
DreezyD98 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2020 Posts 1,613 Reaction score 2,885 Nov 1, 2022 #4 Nenda kwenye uzi wa magari wa jerryempire utapata Joachimb said: Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo. Click to expand...
Nenda kwenye uzi wa magari wa jerryempire utapata Joachimb said: Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo. Click to expand...
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,785 Reaction score 21,028 Nov 1, 2022 #5 Your browser is not able to display this video. Mzigo huo na chenji inarudi
J Joachimb Member Joined Jul 23, 2017 Posts 75 Reaction score 83 Nov 1, 2022 Thread starter #6 Picha haifunguki
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,454 Reaction score 196,152 Nov 1, 2022 #7 Ngoja waje kukupa muongozo...
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,362 Reaction score 83,358 Nov 1, 2022 #8 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Muongozo Mwongozo
kwadilo JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 756 Reaction score 898 Nov 3, 2022 #9 Joachimb said: Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo. Click to expand... Toyota vitz Old model Cc 990 Year 2002 Price 4.3m
Joachimb said: Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo. Click to expand... Toyota vitz Old model Cc 990 Year 2002 Price 4.3m
kwadilo JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 756 Reaction score 898 Nov 3, 2022 #10 Joachimb said: Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo. Click to expand... Nyingize hizi Corolla x Number A= 3.5M NUMBER B= 4M
Joachimb said: Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo. Click to expand... Nyingize hizi Corolla x Number A= 3.5M NUMBER B= 4M