Natafuta gari la kununua

MZAWA JF

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
4,709
Reaction score
4,219
Wadau natafuta brevis au gx110 iliyo katika hali nzuri bajeti 7m, mileage isizidi 100,000 na CC isizidi 2500
 
nna uhakika kwa pesa hyo, hzo gari utapata fasta na iliyo katika hali nzuri hadi utashangaa, hzo gari watu wanazikimbia sana kuliko kawaida yaan mtu ananunua leo baada ya miezi 6 anaiuza kwa hasara!!
Naona unaenda kufunga ndoa na vituo vya mafuta(petrol stations).
ila nna uhakika baada ya miezi kadhaa utazichukia hzo gari na kujuta pale tu utapogundua kuwa umeingia Mara nyingi petrol station kuliko chumbani kwako
 
Nashukur kwa ushauri lakn nimejiandaa mkuu
 
Mkuu ninayo, nicheki Whatsap 0714521128
 
u've made ma day man!
 
hahahahahaa u nailed it
 
mkuu mpe ushauri, hiyo 7M, gari ipi itampendeza zaidi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…