premio, fielder, ist , raum, spacio hizo ulizo taja kwa m5.hazipo ukizipata mpaka umepumzika kutengeneza ongeza m5 nyengine.kwa bei hiyo ngumuHabari wanajamii nahitaji gari ndogo yenye engine chini au sawa na cc1500, vvti , Toyota zaidi, namba sio ishu ila iwe katika hali nzuri, passo hapana, premio, fielder, ist , raum, spacio sawa. Mwenye nayo anicheki pm au acomment hapa. Angalizo ni kuwa nayajua vizuri magari sihitaji fundi kukagua.
Ahsanteni
usimtishe mimi ninayo tena bado ipo katka hali nzuri nauza 5.5mlpremio, fielder, ist , raum, spacio hizo ulizo taja kwa m5.hazipo ukizipata mpaka umepumzika kutengeneza ongeza m5 nyengine.kwa bei hiyo ngumu
inbox ni uchague magari
premio, fielder, ist , raum, spacio mpatie hizo ndizo anatakausimtishe mimi ninayo tena bado ipo katka hali nzuri nauza 5.5ml
Hivi Mkuu wewe ni Mwanaume au Mwanamke?mkoa gani,, mbona huja weka location
Kununua gari bovu ni kujiongezea usikini. Ongeza pesa agiza mwenyeweSawa, ngoja nisubiri tu wenye nazo watakuja
kuna watu wanatunza magari mkuu unaweza pata gari namba A au B lakin iko vizuri kabisaaaa ukisikia maneno ya watu humu unaweza kata tamaa kabisaaAsante, naona wanataka kunisababishia infirioriti kompleksi hawa, sidanganyiki
Mwanaume wa darHivi Mkuu wewe ni Mwanaume au Mwanamke?
Nakushaur tembea kwenye yard za magar this season ya skukuu,nying bei zimepungua,gar ya 10m imefika had 8m..ila kupata gar ya 5mil ndugu yangu tena mkonon,unatafta balaa,gar za mkonon zna siri nying sana,..na anaekuuzia hawez kwambia,utajikuta unahudumia gar kama umeoa wake wa3