Natafuta gari (Basi) la Biashara

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,733
Reaction score
14,157
Rejea kichwa cha habari,najaribu kuangalia uwezekano wa kupata GARI la biashara hasa basi.

Mtindo wa malipo ni kwa installment Kadiri tutakavyokubaliana.

Down payments ipo kulingana na dhamani ya basi.Hata kama halitembei (bovu) nipo tayari kulichukua.

Napatikana dar es salaam,

Namshukuruni sana.
 
Hauhitaji noah mkuu, Nina noah nakodisha ni zile ngumu 4weeldrive afu mpya bado number D
 
Mkuu taja aina ya basi unalotaka
Lolote kuanzia Leyland,Scania,Eicher,Tata,DCM,Isuzu,Coaster,Yutong,Ford,Hiace,Noah etc.

Hata kama ni bovu

Usihofu Mimi ni Fundi Mchawi nikiiangalia tu inaogopa.
 
ninayo eicher nataka 45 cash .. imefanya kazi miez 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…