Natafuta gari aina ya Toyota Allex au Runx

Natafuta gari aina ya Toyota Allex au Runx

the ox

Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
40
Reaction score
29
Mwenye gari aina ya toyota allex au runx isiwe nyeusi au nyeupe with low milleage iwe mpya ambayo haijatumika hapa bongo, nipo Mwanza:OFFER:9.5M
 
Usiamini mileage hata siku moja !!!! Km huwa zinapunguzwa !!! Angalia body na engine tu !!!!

Ushauri wa bure
 
  • Thanks
Reactions: RFP
Ogopa magari kutoka mkononi mwa mtu.. Si yote yanafaa kwa matumizi
 
ahsante kwa ushauri wenu.., wapi mkuu englibertm nikabargain..
 
nawashukuru great thinkers kwa ushauri wenu..,pamoja..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom