Mkuu ipo gari Toyota Noah SR-40 ya mwaka 1998, pearl color, 99000 km. Haijatumika hapa nchini. Naiuza 13,300,000 na imeshalipiwa ushuru.
Imeingia nchini mwezi february mwaka huu.
Iko Dar es salaam, kama utahitaji kuiona tunaweza kupanga location nikakuletea uikague.
Nipigie 0767 382 415.