chiefnyumbanitu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 906 Reaction score 426 Sep 26, 2016 #1 Poleni na majukumu wana Jf kama nlivyosema hapo ju kwenye kichwa cha habari natafuta gari aina ya Noah na iwe na usajili wa namba c,d, mi nipo dar es salam Natumain kupitia hapa Jf nitafanikiwa' Natanguliza shukrani
Poleni na majukumu wana Jf kama nlivyosema hapo ju kwenye kichwa cha habari natafuta gari aina ya Noah na iwe na usajili wa namba c,d, mi nipo dar es salam Natumain kupitia hapa Jf nitafanikiwa' Natanguliza shukrani
engine rock JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,389 Reaction score 1,418 Sep 26, 2016 #2 Ipo inataka 10....bomba sana, ukinunua unaweka mafuta tu safari ya songea inaanza.
NIMITZ JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 323 Reaction score 487 Sep 26, 2016 #3 ipo namba B inauzwa 7.5M.
chiefnyumbanitu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 906 Reaction score 426 Sep 26, 2016 Thread starter #4 engine rock said: Ipo inataka 10....bomba sana, ukinunua unaweka mafuta tu safari ya songea inaanza. Click to expand... Kaka samahan inatakiwa ya mil 8 tu yakuongeza hapo sina ndugu yangu
engine rock said: Ipo inataka 10....bomba sana, ukinunua unaweka mafuta tu safari ya songea inaanza. Click to expand... Kaka samahan inatakiwa ya mil 8 tu yakuongeza hapo sina ndugu yangu
chiefnyumbanitu JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 906 Reaction score 426 Sep 26, 2016 Thread starter #5 NIMITZ said: ipo namba B inauzwa 7.5M. Click to expand... Ipo wapi nije niione au ni PM mkuu
Ukaridayo JF-Expert Member Joined Oct 8, 2012 Posts 516 Reaction score 478 Sep 26, 2016 #6 engine rock said: Ipo inataka 10....bomba sana, ukinunua unaweka mafuta tu safari ya songea inaanza. Click to expand... mkuu...
engine rock said: Ipo inataka 10....bomba sana, ukinunua unaweka mafuta tu safari ya songea inaanza. Click to expand... mkuu...