"Garlfriend" hapa hawapo labda jaribu kwingine
kwa hizo sifa labda umchonge mwenyewe!!halafu na wewe mbona hujataja ABCs zako kama una account ngapi?,unamiliki maduka au investments ngapi?,una magari mangapi.etc uone watakavyokupapatikia vinginevyo hayo maneno matupu uliyoyataja hapo juu hayalambwi!!
11. hawe mrembo
12. hawe mcha Mungu
13. hawe​................
Natafuta garlfriend naejiheshim
sifa zake km ifuatavyo
1, hawe anajiheshim sana
2, hawe mpole asiwe mwingi wa mambo.
3, hawe mwelewa
4, hawe na heshima kwa watu
5, hawe na akili ya maisha
6, hawe kasoma japo kidato cha6
7, hawe mnyenyekevu
8, asiwe na marafiki wa ajabu
9, asiwe mpenda pesa
10, ajue kuvumilia hali ngumu
KAMA YUPO ANI PM HARAKA NIMPE ACCOUNT ZANGU ZA tweet, fb, instaglam, whatsapp, hili apate picha zangu