natafuta gali aina ya noah

M2mishi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
719
Reaction score
274
natafuta gali used aina ya noah bajeti yangu milioni tano na laki tano. iwe katika hali nzuri kama unayo ni text kwenye 075386892
 
Ngumu kupata iliyo nzuri, fanya kuanzia 8
 
Si rahisi kupata gali mkuu watu tunatafuta nafuu wewe wataka gali? Au labda gari unatafuta gar
 
natafuta gali used aina ya noah bajeti yangu milioni tano na laki tano. iwe katika hali nzuri kama unayo ni text kwenye 075386892

Mkuu kwa hela hiyo sijui kama utapata noah yennye kiwango kizuri fanya nikuuzie vitz auto ongeza bei kidogo.
 
Used ya bongo kaka huwezi kuchukua kwa milioni nane, ukifanya hivyo utakua haujapiga mahesabu vizuri ni bora ukaongeza kidogo ukapata used ya Japan ambayo ni mpya ya bongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…