ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,684 Nov 23, 2019 #1 Namtafuta Fundi Mzuriii Anaejua Kushona Nguo kwa Design nitakayo mpatia mimi! Nguo za Kiume! Awe Dar, Mwaminifu, Na Mtu atakae fanya kazi Kwa wakati tutakao Kubaliana! Nitumie Whatsapp Number yako PM. Hiyo Ni moja Ya design nayoitaka kushonewa lakini sio kitambaa hicho Kama Kuna Fundi PM please
Namtafuta Fundi Mzuriii Anaejua Kushona Nguo kwa Design nitakayo mpatia mimi! Nguo za Kiume! Awe Dar, Mwaminifu, Na Mtu atakae fanya kazi Kwa wakati tutakao Kubaliana! Nitumie Whatsapp Number yako PM. Hiyo Ni moja Ya design nayoitaka kushonewa lakini sio kitambaa hicho Kama Kuna Fundi PM please