Mkuu, elezea tatizo la display yako tujue tunakusaidia vp.1. Kama imeingia maji, sidhani kama kuna repair hapo, badilisha mpya tuu.2. Kama haioneshi kitu, inakuwa nyeupe tuu kama mwanga wa tube-light basi nenda kwa fundi3. Kama inakuwa black tuu ukiwasha PC, basi mwambie fundi akubadilishie ka-tube ka ndani kabisa kanakuwaga kwenye hiyo display.4. Kama....endlessssWeka tatizo lako hapa mkuu.