majuzi tuliona uzinduzi wa duka la wakala wa kampuni ya canon dar,sikumbuki walisema mtaa gani lakini uki google unaweza kujua hilo,pamoja na kuuza vifaa vya canon walisema wana toa tech services kwa canon products, kwepa mafundi wa uswaz wataharibu zaidi