Sethshalom JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 590 Reaction score 1,029 Dec 21, 2023 #1 Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga. Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox
Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga. Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,890 Dec 21, 2023 #2 Wanakuja Mkuu. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Sethshalom JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 590 Reaction score 1,029 Dec 22, 2023 Thread starter #3 Jaman hakuna anaefahamu fundi wa kutengeneza washing machine???
kajamaa kadogo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,714 Reaction score 6,490 Dec 22, 2023 #4 Fundi wa mashine ya kufua ni MiKONO yako tu ingia uwanjani
Kaudunde Kautwange JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,686 Reaction score 1,758 Dec 22, 2023 #5 Sethshalom said: Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga. Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox Click to expand... Ina changamoto gani, labda naweza kukusaidia!!
Sethshalom said: Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga. Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox Click to expand... Ina changamoto gani, labda naweza kukusaidia!!
Mgonga Like JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 1,255 Reaction score 1,661 Dec 22, 2023 #6 Brand gani mkuu? LG services centre 0685571581/0738471661 Samsung 0677124124/0718445418
Sethshalom JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 590 Reaction score 1,029 Dec 22, 2023 Thread starter #7 Ya kwangu ni delta manual
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,282 Reaction score 6,162 Dec 23, 2023 #8 Ungekuwa Kanda ya kaskazini ningekusaidia kuna fundi mmoja ni kiboko waindi walitaka wakamwajiri jamaa akazingua
Ungekuwa Kanda ya kaskazini ningekusaidia kuna fundi mmoja ni kiboko waindi walitaka wakamwajiri jamaa akazingua
M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 6,035 Reaction score 15,064 Dec 24, 2023 #9 Sethshalom said: Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga. Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox Click to expand... 0713619587 Mcheki huyo Mr MBUYA ndiye Fundi Mkongwe kwa Dsm kwa AC, WASHING MACHINE na FRIDGE Ofisi yake iko TABATA INAITWA HILL TECH. Poa mkuu
Sethshalom said: Wakuu natafuta fundi wa kunisaidia kutengeneza machine yangu ya kufua ni manual. fundi aweze kufika maeneo ya Ukonga. Ambaye anamfahamu fundi mzuri anitumie number zake inbox Click to expand... 0713619587 Mcheki huyo Mr MBUYA ndiye Fundi Mkongwe kwa Dsm kwa AC, WASHING MACHINE na FRIDGE Ofisi yake iko TABATA INAITWA HILL TECH. Poa mkuu
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,191 Reaction score 9,851 Jan 13, 2024 #10 Sethshalom said: Ya kwangu ni delta manual Click to expand... Tatizo la Washing Machine lilitatuliwa? Siku nyingine nunua bidhaa zenye brand zinazofahamika.
Sethshalom said: Ya kwangu ni delta manual Click to expand... Tatizo la Washing Machine lilitatuliwa? Siku nyingine nunua bidhaa zenye brand zinazofahamika.
Charles1990 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 252 Reaction score 50 May 12, 2024 #11 mjumbe wa bwana said: Ungekuwa Kanda ya kaskazini ningekusaidia kuna fundi mmoja ni kiboko waindi walitaka wakamwajiri jamaa akazingua Click to expand... Habari mkuu. Naomba mawasiliano yake. Nipo Moshi.
mjumbe wa bwana said: Ungekuwa Kanda ya kaskazini ningekusaidia kuna fundi mmoja ni kiboko waindi walitaka wakamwajiri jamaa akazingua Click to expand... Habari mkuu. Naomba mawasiliano yake. Nipo Moshi.