Wadau salaam..natafuta engine ya Land Cruiser Prado complete na gear box yake. 1KZ au 3RZ.Kama kuna mtu anayo pls tuwasiliane kwa namba 0656666666.Asantenii
Aisee nimepita Ilala nikakuta 1KZ bei yake kwasasa ipo juu sana. December nilipita kuulizia ilikuwa millioni 3.5 hadi milioni 3.3. Wiki hii wameanzia milioni 4.2 hawashushi chini ya 3.9