Ni hizi Toyota Coaster new model mkuu.What tha fack is a DLDM?
Kama hujui DLDM ni nin? Basi hili sio tangazo lakoWhat tha fack is a DLDM?
D-DukaWhat tha fack is a DLDM?
Basi we ni mpumbavu unashida na kitu badala uweke kwenye lugha rais watu waweze kukusaidia-unadharau watu.Kama hujui DLDM ni nin? Basi hili sio tangazo lako
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa kunielimishaBasi we ni mpumbavu unashida na kitu badala uweke kwenye lugha rais watu waweze kukusaidia-unadharau watu.
Unapungukiwa ni ukituelekeza?Kama hujui DLDM ni nin? Basi hili sio tangazo lako
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Sio ujuaji wewe mbuzi mee usidhani kila MTU anaelewa huo ujinga wako. Umetoka chuo na boom bado linakupa kiburi. Tulizana humu hamna mjanja utaliwa!!!!Nashukuru kwa kunielimisha
DLDM= Duka la dawa Muhimu, Vip unalo? Au ndo kuleta unnecessary ujuaji?
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Mkuu ukiheshimu na kutumia lugha nzuri nadhani pia hutapungukiwa na kitu, masuala ya kuitana Mbuzi, ujinga, si busara sana kutumika kwa mtu ambae humjui hata umri au history yakeSio ujuaji wewe mbuzi mee usidhani kila MTU anaelewa huo ujinga wako. Umetoka chuo na boom bado linakupa kiburi. Tulizana humu hamna mjanja utaliwa!!!!
Asante na samahani pia.Mkuu ukiheshimu na kutumia lugha nzuri nadhani pia hutapungukiwa na kitu, masuala ya kuitana Mbuzi, ujinga, si busara sana kutumika kwa mtu ambae humjui hata umri au history yake
Kwa pamoja tutumie lugha nzuri kuifanya jf kuwa bora.
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app