Natafuta mtu mwenye kuuza Diagnosis machine ya magari yote iwe mpya au used. Au kama kuna mtu mwenye software ya Diagonis machine aniuzie kwa ku install kwenye laptop yangu.