Fukara JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,624 Reaction score 930 May 12, 2016 #1 Mwenye decoder anipigie fasta 0712 355025
SHAIDI JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 291 Reaction score 141 May 13, 2016 #2 Weka bei yako hapa nione kama naweza kupa yanguu
U Uungwana Vitendo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,342 Reaction score 527 May 13, 2016 #3 Bunge live
PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,178 May 13, 2016 #4 si wanaviuza bei ya kutupa ndugu 22,000/= Au huna habari ndugu? Tembelea maduka yao ujipatie kwa ofa ya elf ishirini na 2tu.
si wanaviuza bei ya kutupa ndugu 22,000/= Au huna habari ndugu? Tembelea maduka yao ujipatie kwa ofa ya elf ishirini na 2tu.
PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,178 May 13, 2016 #5 uungwana vitendo said: Bunge live Click to expand... hamna hiyo kitu. Bunge linaonyeshwa kiporo.
U Uungwana Vitendo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,342 Reaction score 527 May 13, 2016 #6 PRINCE CROWN said: hamna hiyo kitu. Bunge linaonyeshwa kiporo. Click to expand... eeh mm nilivyosikia tbc 2 wanaonesha live nikawa nafikiria kukiifufua.Manaake hata sikumbuki mara yamwisho lini kukitumia
PRINCE CROWN said: hamna hiyo kitu. Bunge linaonyeshwa kiporo. Click to expand... eeh mm nilivyosikia tbc 2 wanaonesha live nikawa nafikiria kukiifufua.Manaake hata sikumbuki mara yamwisho lini kukitumia
Tayo zeboss JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 467 Reaction score 196 May 15, 2016 #7 SHAIDI said: Weka bei yako hapa nione kama naweza kupa yanguu Click to expand... elf 25,000/= cash
Yusomwasha JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 2,092 Reaction score 844 Aug 3, 2016 #8 mm.nahtaj natoa elfu 20
Yusomwasha JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 2,092 Reaction score 844 Aug 3, 2016 #9 nanunua Kw elfu 20 pamoja na antenna