Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,784 Reaction score 3,205 Sep 25, 2016 #1 Habari wakuu kama nilivyosema mdogo wangu anakojoa kitandani mpaka leo hii yupo form 1 tumempeleka boarding lakini tatizo bado lipo mpaka leo hii hadi walimu wanataka kumrudisha nyumbani
Habari wakuu kama nilivyosema mdogo wangu anakojoa kitandani mpaka leo hii yupo form 1 tumempeleka boarding lakini tatizo bado lipo mpaka leo hii hadi walimu wanataka kumrudisha nyumbani
MNYAMAKAZI JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,118 Reaction score 2,198 Sep 25, 2016 #2 Hebu sema ni shule gani hiyo ambayo inataka kumfukuza mwanafunzi kisa anakojoa kitandani ili serikali nayo isikie.
Hebu sema ni shule gani hiyo ambayo inataka kumfukuza mwanafunzi kisa anakojoa kitandani ili serikali nayo isikie.