Natafuta dawa ya Hydroxyurea kwa mgonjwa wa Sickle Cell anaemia

griffin griffith

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
549
440
Wasalaamu,

Kama kichwa cha bandiko langu kinavyojieleza, natafuta dawa ya hydroxyurea, kwa ajili ya complications za ugonjwa huu.

Nipo MBEYA, nimejaribu tafuta kwa pharmacy zote hapa jijini hadi tunduma nimekosa!

Naombeni msaada tafadhali.
 
Ni prescription au biashara? Kwanini daktari akuandikie dawa ambayo haipatikani! Najiuliza
 
Hizo labda uagize dar au uende Hospital kama rufaa utazipataa...!! Au mbeya mjini maranatha
 
Back
Top Bottom