Natafuta cool box

malimingiii

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
968
Reaction score
1,343
Habari za hapa wakuu..
Natafuta cooler box ya lita 21 kama niliyoambatisha kwenye picha. Mwenye nayo anicheki kwenye namba 0625693518 tufanye biashara
 
mkuu ukianza biashara ya ice cream ni`tag nije nikuungishe,au unataka kwenda picnic?
 
cool box 12volt mpya uunaweza kutumia kwenye gari au nyumbani ni 12 voltage
nipe offer yako
 

Attachments

  • kylbox.jpg
    30.6 KB · Views: 42

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…