Natafuta chuo cha masomo ya afya

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari wakuu,

Natafuta chuo cha maswala ya Afya kwa hapa Dar es Salaam kinachotoa kozi kwa nganzi ya Diploma, nursing, pharmacy, clinical medicine na zinginezo, mwenye kuvifahamu anitajie.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
St Glory kimara hawatoi clinical medicine tu hapo, hizo zengine fresh

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habari WA kuu natafuta chuo cha maswala ya Afya kwa hapa Daressalaam kinachotoa kozi kwa nganzi ya Diploma,nursing,pharmacy, Clinical medicine na zinginezo,mwenye kuvifahamu anitajie!

Post sent using JamiiForums mobile app

Lugalo, Muhimbili,......weka na alama zako tuende mbali zaidi kukupa msaada!!!!
 
Ingia tovuti ya nacte utavikuta vingi tu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nitafute pm Niko chuoni nkuelekeze uje

Post sent using JamiiForums mobile app
 
We zama NACTE kila kitu kitakuwa Muki-DI muki-DE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…