Chumba na sebule au vyumba viwili na sebule iwe inajitegemea choo, ikiwa inajitegemea itakuwa bora zaidi.Viwe kwenye mazingira mazuri. Maeneo ya Mwenge, Afrika sana, Sinza, Maeda, Kijitonyama. Yeyote aliyenayo tafadhali ani PM au aache ujumbe kwenye thread hii. Asante.