Chumba kimoja kinapangishwa kipo makongo,
kipo maeneo ya chini kabla hujapanda juu,
maeneo karibu na uclas-university.
kina sebule, jiko, store, choo, luku, maji ya bomba masaa 24,
na kisima kipo!
Umbali wa mita kama mia hivi kutoka barabarani.
call back: 0756 547184.