AbuuMaryam JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,651 Reaction score 4,758 Feb 25, 2019 #1 Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu...natafuta chumba na sebule na choo ndani...maeneo ya kimara mwisho bonyokwa vyumba vinane, Mbagala rangi tatu au mbagala zakhem. Na maeneo yanayozungukq huko... Bajeti yangu inaanzia 70 hadi 80.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu...natafuta chumba na sebule na choo ndani...maeneo ya kimara mwisho bonyokwa vyumba vinane, Mbagala rangi tatu au mbagala zakhem. Na maeneo yanayozungukq huko... Bajeti yangu inaanzia 70 hadi 80.