Wadau, naombeni mnisaidie natafuta chumba(master) na sebule ya kupanga, bei isizidi 150,000/=. Maeneo ya Sinza au Mwenge na kuwe na maji. Kama unamiliki au unamjua mtu anayemiliki au mpangaji anayetegemea kuhama hivi karibuni naomba unijulishe. Asanteni.