ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Feb 16, 2015 #1 Habarini waungwana. Natafuta chumba kikubwa kiasi maeneo ya kinondoni au Morocco. Nahitaji kiwe kikubwa na ni kimoja na bei ya kodi ianzie 40,000/=
Habarini waungwana. Natafuta chumba kikubwa kiasi maeneo ya kinondoni au Morocco. Nahitaji kiwe kikubwa na ni kimoja na bei ya kodi ianzie 40,000/=
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,983 Reaction score 30,172 Feb 16, 2015 #2 ladyfurahia said: Habarini waungwana. Natafuta chumba kikubwa kiasi maeneo ya kinondoni au Morocco. Nahitaji kiwe kikubwa na ni kimoja na bei ya kodi ianzie 40,000/= Click to expand... Hicho 40 utapata mabondeni kule karibu na mkwajuni
ladyfurahia said: Habarini waungwana. Natafuta chumba kikubwa kiasi maeneo ya kinondoni au Morocco. Nahitaji kiwe kikubwa na ni kimoja na bei ya kodi ianzie 40,000/= Click to expand... Hicho 40 utapata mabondeni kule karibu na mkwajuni
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Feb 16, 2015 Thread starter #3 Kwan vinaanzia bei gani nahitaji sana na huo ndo uwezo wangu shark said: hicho 40 utapata mabondeni kule karibu na mkwajuni Click to expand...
Kwan vinaanzia bei gani nahitaji sana na huo ndo uwezo wangu shark said: hicho 40 utapata mabondeni kule karibu na mkwajuni Click to expand...
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,983 Reaction score 30,172 Feb 16, 2015 #4 Bei standard ni 50 kimoja ikiwa na sebule jua ni 100