pinno JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 1,213 Reaction score 1,233 Aug 26, 2013 #1 Natafuta chumba cha kupanga, kinondoni, sinza, maeneno ya mwenge, na msasani. kiwe masterroom, hali nzuri, kinafikika kwa urahisi na kisiwe uchochoroni.Kuna mdau bachelor anahamia dar hivyo namwandalia.Its very urgenty. Budget yake ni 100,000/=.
Natafuta chumba cha kupanga, kinondoni, sinza, maeneno ya mwenge, na msasani. kiwe masterroom, hali nzuri, kinafikika kwa urahisi na kisiwe uchochoroni.Kuna mdau bachelor anahamia dar hivyo namwandalia.Its very urgenty. Budget yake ni 100,000/=.