Natafuta chumba Kijitonyama, Sinza mori

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,505
Reaction score
138,384
Natafuta sehemu Sinza mori, Kijitonyama maeneo nyuma ya sayansi au mitaa karibu na polisi mabatini
vyumba viwili kimoja kiwe na master, sitting room, jiko, gari liwe linaingia ndani, Mtaa uwe tulivu, Budget yangu 200, 000 hadi 250, 000/

Cha kuongeza luku iwe ya kujitegemea

Contact: 0715 591141
 
Mkuu sifa za nyumba ulizotaja na maeneo husika ukipata nyumba ya bei rahisi sn 450000 kwa mwezi tena kodi ya mwaka km sio miaka 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…